Kozi hii ina mada 13 kuanzia usimamizi wa gharama za matumizi, kudhibiti madeni, utekelezaji wa miradi, mipango ya baadae, kuzungumza na familia yako kuhusu maswala ya fedha, kufanya uchaguzi katika kutumia bidhaa za kifedha n.k …
Ungependa kupokea kila somo kwa barua pepe? Tafadhali jaza fomu: