Karibu katika somo la usimamizi wa Fedha!
Kozi hii imeandaliwa kwa ajili ya kujifunza mwenyewe kwa haraka: Na kwa kila somo, utafanya haya yafuatayo:
Kozi hii ina mada 13 kuanzia usimamizi wa gharama za matumizi, kudhibiti madeni, utekelezaji wa miradi, mipango ya baadae, kuzungumza na familia yako kuhusu maswala ya fedha, kufanya uchaguzi katika kutumia bidhaa za kifedha n.k …
Weka maswali yako katika jukwaa la maswali. Hivyo tunaweza kuanza!
Asante Samwel kwa tafsiri!